Ingia / Jisajili

ALELUYA (Pasaka na Jumatatu ya pasaka)

Mtunzi: Nivard S Mwageni
> Mfahamu Zaidi Nivard S Mwageni
> Tazama Nyimbo nyingine za Nivard S Mwageni

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: Nivard Silvester

Umepakuliwa mara 35 | Umetazamwa mara 170

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Shangilio Dominika ya Pasaka

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio: Aleluya, aleluya, aleluya aleluya, aleluya aleluya x2 Maimbilizi: Pasaka: Kristo pasaka wetu amekwishakutolewa kuwa sadaka, bas na tuifanye karamu katika Bwana. Jumatatu ya Pasaka: Siku hii ndiyo aliyoifanya Bwana, tutaishangilia na kuifurahia.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa