Mtunzi: Nivard S Mwageni
> Mfahamu Zaidi Nivard S Mwageni
> Tazama Nyimbo nyingine za Nivard S Mwageni
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Majilio
Umepakiwa na: Nivard Silvester
Umepakuliwa mara 1,393 | Umetazamwa mara 5,292
Download Nota Download MidiSauti ya mtu (sauti) sauti ya mtu aliaye nyikani, itengenezeni njia ya Bwana yanyosheni mapito yake.
1. Kila bonde litajazwa na kila mlima na kilima na kilima kitashushwa
2. Palipopotoka patakuwa pamenyoka na palipoparuza patalainishwa
3. Nao wote wenye mwili watauona wokovu wa Mungu