Ingia / Jisajili

ALIYETESWA MTINI KAFUFUKA

Mtunzi: J.maki
> Mfahamu Zaidi J.maki
> Tazama Nyimbo nyingine za J.maki

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 266 | Umetazamwa mara 821

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana KAFUFUKA Bwana KAFUFUKA kweli Twimbe Aleluya Bwana KAFUFUKA Aleluya Utukufu na ukuu una yeye hata MILELE na MILELE Unayeye MILELE na MILELE.(1)Ameya shinda mauti KAFUFUKA marifa hayo ya ajabu Aleluya.(2)Aliye teswa MTINI kafufuka tushangilie Twimbe WOTE Aleluya.(3)NI yesu mwokozi wetu kafufuka tumwimbieni Aleluya Aleluya.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa