Ingia / Jisajili

ENYI WATU WA GALILEYA

Mtunzi: J.maki
> Mfahamu Zaidi J.maki
> Tazama Nyimbo nyingine za J.maki

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 36 | Umetazamwa mara 85

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Enyiwatu was galilaya mbona mwasimama.mkitazama juu mbinguni X2.Jinsi mlivyo muona akienda zake mbinguni tena ndivyo hivyo hivyo atakavyo kuja .1.Malaika Waka wa shukia wanafunzi wakiwa julisha maajabu ya Bwana.2.Tazameni mtaipokea nguvu Alisha washukia Ro.ho mtakatifu.3.Mtakuwa mashahidi wake ka -tika ye-rusalemu nauyaudi wote

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa