Ingia / Jisajili

Bwana Mimi ni nani

Maneno ya wimbo
MIMI NI NANI BWANA MIMI NINANI .MIMI NINANI BEANA MIMI NI NANI X2 NA NYUMBA YANGU BWA _ NA NA YONINI (HATA) UMENIFANYA NIKUTU MIKIE BWA NA X2(1)Mimi ni mdogo Bwana .Hukujali udogo wangu umeniita Bwana nikutumikie.(2)Mimi ni mnyonge Bwana Hukujali unyonge wangu umeniita Bwana nikutumikie,(3)Nimeitika wito Niko tayari Bwana wangu nikatangaze neno kwa -watu WOTE.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa