Mtunzi: Thomas Nolasco Shetui
> Mfahamu Zaidi Thomas Nolasco Shetui
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomas Nolasco Shetui
Makundi Nyimbo: Ndoa
Umepakiwa na: Tommy Shetui
Umepakuliwa mara 1,571 | Umetazamwa mara 3,519
Download Nota Download MidiAmani, (Amani) Upendo, (Upendo), vikatawale, Amani na Upendo vikatawale ndani ya nyumba yenu. MASHAIRI. 1. Mpate na watoto. 2. Na nyumba ijazwe neema. 3. Muishi kwa furaha. 4. Na muwe waaminifu. 5. Muishi katika Kristu. 6. Mumtegemee Kristu. 7. Amani ikatawale. 8. Upendo ukashamiri.