Mtunzi: Thomas Nolasco Shetui
> Mfahamu Zaidi Thomas Nolasco Shetui
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomas Nolasco Shetui
Makundi Nyimbo: Ubatizo
Umepakiwa na: Tommy Shetui
Umepakuliwa mara 512 | Umetazamwa mara 1,347
Download Nota Download MidiLeo mmezaliwa upya
Leo mmezaliwa upya kwa damu na maji,
mmezaliwa upya kwa damu na maji,
damu na maji ya ubavu wake Kristu.
MASHAIRI
1. Leo mmetimiza, agano lake Kristu, kwa kujikana mwenyewe, na kumfata yeye.
2. Karibuni wapendwa, katika ukristu, mmefanya agano, la kumtumikia Kristu.
3. Na safari hii, mloianza leo, iwe safari salama, kwa kumtanguliza Kristu.