Ingia / Jisajili

Shamba La Mizabibu

Mtunzi: Thomas Nolasco Shetui
> Mfahamu Zaidi Thomas Nolasco Shetui
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomas Nolasco Shetui

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Tommy Shetui

Umepakuliwa mara 2,340 | Umetazamwa mara 5,309

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Shamba la Mizabibu, (ndilo) nyumba ya Israeli × 2. MASHAIRI. 1.Ulileta mzabibu kutoka Misri, ukawafukuza mataifa, ukaupanda nao uliyaeneza matawi yake, hata Baharini, na vichipukizi vyake hata kunako mto. 2. Kwa nini umezibomoa kuta zake, kuta zake wakuchuma wote, wapitao njiani nguruwe wa msituni nguruwe wa uharibifu, Na hayawani wa kondeni wanautafuna. 3.Ee Mungu wa Majeshi tunakusihi, utazame kutoka juu, uone mzabibu huu uutazame kutoka juu, ujilie, Na mche unaopanda kwa mkono wako. 4. Basi hatutakuacha kwa kurudi nyuma, utuhuishe nasi tulihitaji, jina lako Ee Bwana Mungu wa Majeshu uturudishe, uangazishe, uso wako nasi tutaokoka.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa