Ingia / Jisajili

Ameenea

Mtunzi: Bernard Mukasa
> Mfahamu Zaidi Bernard Mukasa
> Tazama Nyimbo nyingine za Bernard Mukasa

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 7,289 | Umetazamwa mara 13,401

Download Nota Download Midi

Maoni - Toa Maoni

FAUSTIN KOMBI Jun 19, 2020
Naipenda nata kuiimba

Philip asanterabi massawe Oct 09, 2016
Baba nimekuwa ni msikilizaji wa nyimbo za kwaya tangu mwaka 2003 nikiwa na miaka 10, ambapo tangu nikiwa naendelea kuzisikiliza, nyingi nimekuwa nikiona jina lako kumbe mdiye mtunzi wake, baba hongera sana kwa kweli yaani sijui hata nikuambie nini ujue kilichopo moyoni mwangu baba. Kwa kweli mwenyenzi Mungu akuendeleze, akutegemeze uendelee kumtegemea yeye peke yake baba. Hapa nilipo ni moja ya nyimbo zako nasikiliza kwa kweli sio siri nafurahi sana moyoni baba yangu. Ubarikiwe sana, utiwe nguvu uiendeleze kazi hii sawa sawa baba.Dah!

Toa Maoni yako hapa