Ingia / Jisajili

Bwana Ndiye Mchungaji Wangu

Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 16 Mwaka B

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

BWANA NDIYE MCHUNGAJI WANGU

Bwana ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu, Bwana ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu

1.Bwana ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu, katika malisho ya majani mabichi hunilaza, kando ya mito ya maji ya utulivu huniongoza, hunihuisha nafsi yangu


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa