Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura
Umepakuliwa mara 1 | Umetazamwa mara 0
Download NotaKARIBU YESU
Karibu Yesu karibu Yesu moyoni mwangu ili nipate heri ya milele x2
1. Wewe ni chakula cha uzima unishibishe njaa yangu
2. Wewe ni kinywaji cha uzima, uniponyeshe kiu yangu