Mtunzi: Cylirus Albert Kaijage
> Mfahamu Zaidi Cylirus Albert Kaijage
> Tazama Nyimbo nyingine za Cylirus Albert Kaijage
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: Cylirus Kaijage
Umepakuliwa mara 8 | Umetazamwa mara 10
Download Nota Download MidiAmezaliwa Mkombozi wetu (njoni) twendeni pangoni alikolazwa kwa nyimbo na sala zetu tukamsujudie Bwana. tumwone mtoto aliyezaliwa kwetu (leo), twendeni pangoni alikolazwa kwa nyimbo na sala zetu tukamsujudie Bwana.
1. Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, tumepewa mtoto mwanaume.
2. Na uweza wa kifalme, utakuwa mabegani mwake.
3. Naye ataitwa mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu Baba wa milele, Mfalme wa amani.