Ingia / Jisajili

Nikitazama Matendo Yako

Mtunzi: Cylirus Albert Kaijage
> Mfahamu Zaidi Cylirus Albert Kaijage
> Tazama Nyimbo nyingine za Cylirus Albert Kaijage

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: Cylirus Kaijage

Umepakuliwa mara 90 | Umetazamwa mara 306

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Nikitazama matendo yako kwenye maisha yangu, umetenda mengi, mengi ya kupendeza. Umenipa na uhai mwilini umezidisha imani rohoni, umenichagua mimi ili nikutumikie. Nilipoleta maombi uliniitikia ukanifuta machozi, ukanipa upendo, furaha na amani.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa