Ingia / Jisajili

AMIN NAWAAMBIENI

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Juma Kuu | Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 650 | Umetazamwa mara 2,159

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiit: Amini Amini nawaambieni , msipokula mwili wake Mwana Adamu hamna uzima ndani yenu, Amini Amini nawaambieni, msipokunywa damu yake Mwana wa Adamu hamna uzima ndani yenu, Aulaye Mwili wangu na kuinywa Damu yangu ano uzima wa milele, nami nitamfufua siku ya mwisho. 1.Kwa maana Mwili wangu ni chakula cha kweli nayo Damu yangu ni kinywaji cha wokovu. 2.Aulaye Mwili wangu na kuinywa Damu yangu hukaa ndani yangu nami ndani yake. 3.Kama vile Baba aliye hai alivyo nituma ndivyo nami nilivyo hai kwa Baba. 4. Kadhalika naye mwenye kunila atakuwa atakuwa hai kwangu mimi milele.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa