Ingia / Jisajili

Amkeni

Mtunzi: Frederick Ajali
> Mfahamu Zaidi Frederick Ajali
> Tazama Nyimbo nyingine za Frederick Ajali

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Fredrick Ajali

Umepakuliwa mara 1,982 | Umetazamwa mara 5,046

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Amkeni enyi wenzangu tupeleke, tupeleke kwake Bwana, tupeleke tupeleke sadaka, sadaka sote tupeleke *2 (Kwa maana vitu vyote, kwa maana vitu vyote ni yeye ndiye anayetujalia*2)

  1. Fedha nazo mifugo tupeleke kwa Mungu mwenyezi naye atubariki.

  2. Sehemu ya mapato tupeleke kwa Mungu mwenyezi tupate maradufu.

  3. Nazo sala zetu tupeleke kwa Mungu mwenyezi naye atujalie.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa