Ingia / Jisajili

Ataniita Nami Nitamwitikia

Mtunzi: Frederick Ajali
> Mfahamu Zaidi Frederick Ajali
> Tazama Nyimbo nyingine za Frederick Ajali

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: Fredrick Ajali

Umepakuliwa mara 137 | Umetazamwa mara 361

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 1 ya Kwaresma Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ataniita nami nitamwitikia, nitamwokoa na kumtukuza, kwa siku nyingi nita mshibisha.×2 1. Kwa kuwa amekaza kunipenda, nitamwokoa na kumweka palipo juu, na kumweka palipo juu. 2. Mabaya hayatampata yeye, wala tauni haitaikaribia katika hema yake.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa