Mtunzi: Stanslaus Mujwahuki
> Tazama Nyimbo nyingine za Stanslaus Mujwahuki
Makundi Nyimbo: Juma Kuu
Umepakiwa na: Richard Masanja
Umepakuliwa mara 13,035 | Umetazamwa mara 22,931
Download Nota Download MidiSTAN MUJWAHUKI
Amri mpya nawapa mpendane kama vile nilivyowapenda ninyi kama vile nilivyowapenda ninyi asema Bwana x 2
1. Mimi niendako ninyi hamuwezi kuja mimi niendako ninyi hamuwezi kuja kadhalika sasa na waambia ninyi asema Bwana
2. Hivyo watu wote watatambua yakuwa ninyi mmekuwa wanafunzi wangu mkiwa na upendo ninyi kwa ninyi asema Bwana