Ingia / Jisajili

Ee Bwana Nitakutukuza

Mtunzi: Stanslaus Mujwahuki
> Tazama Nyimbo nyingine za Stanslaus Mujwahuki

Makundi Nyimbo: Pasaka | Zaburi

Umepakiwa na: Edga Madeje

Umepakuliwa mara 4,601 | Umetazamwa mara 8,638

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

EE BWANA NITAKUTUKUZA – STAN MUJWAHUKI

       [Ee Bwana (Ee Bwana) nitakutukuza (Ee Bwana) nitakutukuza kwa maana umeniinua]x2

1.      Ee Bwana, nitakutukuza kwa maana umeniinua, wala hukuwafurahisha adui zangu juu yangu

2.     Ee Bwana, Umeiinua nafsi yangu, Ee Bwana umeniinua nafsi yangu, kutoka kuzimu


Maoni - Toa Maoni

Mathias magindu Jun 29, 2022
Kazi ni nzuri

Toa Maoni yako hapa