Ingia / Jisajili

Asante Bwana Yesu

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 557 | Umetazamwa mara 1,353

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Asante Bwana Yesu kwa mwili na damu yako umetulisha chakula bora kushibisha roho zetu X2

Ni mapendo makubwa unayotuonesha kwetu sisi nasi tunakushukuru Bwana kwa Ekaristi Takatifu X2

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa