Ingia / Jisajili

Ee Bwana Mungu Wetu Utuokoe

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 899 | Umetazamwa mara 2,334

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 4 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 4 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 4 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Bwana Mungu wetu utuokoe (Ee Bwana) utukusanye na kututoa katika mataifa tulishukuru jina lako takatifu tuzifanyie shangwe sifa zako X2

1. Ahimidiwe Bwana Mungu wa Israeli tangu milele hata milele

2. Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema kwa maana fadhili zake ni za milele

3. Watu wote watu wote na waseme amina aleluya

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa