Ingia / Jisajili

Nakuomba Baba

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 84 | Umetazamwa mara 407

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 7 ya Pasaka Mwaka A
- Antifona / Komunio Dominika ya 7 ya Pasaka Mwaka B
- Antifona / Komunio Dominika ya 7 ya Pasaka Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Nakuomba nakuomba Baba ili wawe na umoja kama sisi tulivyo umoja X2 1. Mimi ndani yao nawe ndani yangu ili wawe kamili katika umoja 2. Ili ulimwengu ujue ya kuwa ndiwe uliyenituma ukawapenda hao kama ulivyonipenda mimi X2

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa