Ingia / Jisajili

Asifiwe Mungu

Mtunzi: Justine Mgobela
> Mfahamu Zaidi Justine Mgobela
> Tazama Nyimbo nyingine za Justine Mgobela

Makundi Nyimbo: Utatu Mtakatifu

Umepakiwa na: Justine Mgobela

Umepakuliwa mara 31 | Umetazamwa mara 73

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Asifiwe Mungu Baba, mwana na roho na Mungu roho mtakatifu kwa sababu ametufanyizia huruma yake 1. Asifiwe Mungu Baba asifiwe Mungu mwana, asifiwe Mungu roho, nafsi tatu Mungu mmoja, nafsi tatu Mungu mmoja sawa na Baba. 2. Atukuzwe Mungu Baba, atukuzwe Mungu mwana, atukuzwe Mungu roho kama ilivyokuwa mwanzo, kama ilivyo sasa hata milele

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa