Ingia / Jisajili

Sadaka Ya Siri

Mtunzi: Justine Mgobela
> Mfahamu Zaidi Justine Mgobela
> Tazama Nyimbo nyingine za Justine Mgobela

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Justine Mgobela

Umepakuliwa mara 72 | Umetazamwa mara 90

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
KIITIKIO: Shika sadaka yako uliyoiandaa (hima) ukamtolee Mungu wako na sadaka yako iwe kwa siri, iwe kwa siri Bwana aonaye sirini atakujazi. MASHAIRI: 1. Sadaka yako ni mali yake aliyekuumba, hima ukamtolee muumba wako. 2. Sadaka yako ni maumbo ya mkate nayo divai, hima ukamtolee muumba wako. 3. Uitoapi sadaka yako kwa moyo wa shukrani utabarikiwa na Mungu baba.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa