Ingia / Jisajili

Sakramenti Saba

Mtunzi: Justine Mgobela
> Mfahamu Zaidi Justine Mgobela
> Tazama Nyimbo nyingine za Justine Mgobela

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Justine Mgobela

Umepakuliwa mara 82 | Umetazamwa mara 123

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
SAKRAMENTI SABA. Mwenyezi Mungu katuwekea Sakramenti saba ili tumjue, tumpende, tumtumikie, tufike mbinguni,, Sakramenti ya ubatizo inatupatanisha, hutuunganisha naye Mungu wetu, Kipaira kutuimairisha katika kuishika imani ya kikristo, Sakramenti ya Ekaristi takatifu yatupasa tumpokee Yesu akae nasi maishani mwetu, nayo sakramenti ya kitubio ndiyo Amri inayotuamuru kufanya toba tusamehewe maovu yetu yote,,, Mpakao mtakatifu wa wagonjwa unawapa nafasi ya kutakaswa na kusamehewa makosa yao yote,,, Sakramenti ya ndoa na daraja takatifu la Upadre zote hutuletea umoja katika kanisa hututia bidii na nguvu ya kutenda mema,, Sakramenti saba ndio Msalaba utufanye tuwe na imani na uhusiano wetu sisi na Mungu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa