Mtunzi: Joseph Rimisho
> Mfahamu Zaidi Joseph Rimisho
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Rimisho
Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme
Umepakiwa na: JOSEPH RIMISHO
Umepakuliwa mara 2,156 | Umetazamwa mara 6,884
Download Nota Download MidiKiitkio
Astahili enzi na utajiri, heshima, hekima, utukufu na adhama x2
Mashairi
1. Astahili mwana kondoo aliyechinjwa kupokea heshima yote.
2. Utukufu nao ukuu una yeye hata milele milele yote.
3. Tumwimbie nyimbo za shangwe tumpe sifa na heshima mfalme wetu.