Mtunzi: Joseph Rimisho
> Mfahamu Zaidi Joseph Rimisho
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Rimisho
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: JOSEPH RIMISHO
Umepakuliwa mara 3,396 | Umetazamwa mara 7,426
Download Nota Download MidiShairi
1. Twende na zawadi zetu leo tumpe Bwana (Mungu)
Tutoe kwa ukarimu vyote ni mali yake (kweli)
Kiitikio
Twende watu wote kwa shukrani twende (kwa furaha) na zawadi zetu (nasi) tuzitoe kwake Bwana muumba wetu.x2
Mashairi
2. Zaka pia malimbuko vyote tuvipeleke (kwani)
Kwa kutoa hivi twalitegemeza kanisa (sasa)
3. Uhai tulio nao kweli si mali yetu (yeye)
Ametupa bure nasi turudishe shukrani (kwake)
4. Usingoje ndugu wala usijipe shauri (kwani)
Vitu vyako vyote umepata kwa n'ema yake (hivyo)