Ingia / Jisajili

Nitaenenda Mbele Za Bwana

Mtunzi: Joseph Rimisho
> Mfahamu Zaidi Joseph Rimisho
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Rimisho

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: JOSEPH RIMISHO

Umepakuliwa mara 2,620 | Umetazamwa mara 6,190

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio

Nitaenenda mbele za Bwana Mbele za Bwanax2 

(Katika nchi za walio hai, katika nchi za walio hai, katika nchi za walio hai)x2

Mashairi

1.Naliamini kwa maana nitasema, naliteswa sana, ina thamani machoni pa Bwana, mauti ya wacha Mungu wake.

2.Ee Bwana hakika mimi ni mtumishi wako na mjakazi wako, umevifungua vifungo vyangu, nitatoa dhabihu za kushukuru.

3.Nitaziondoa nadhiri kwa Bwana, mbele ya watu wake, katika nyua za nyumba ya Bwana, ndani yako Ee Yerusalemu.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa