Mtunzi: Noel Ng'itu
> Mfahamu Zaidi Noel Ng'itu
> Tazama Nyimbo nyingine za Noel Ng'itu
Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme
Umepakiwa na: Noel Ng'itu
Umepakuliwa mara 2,731 | Umetazamwa mara 5,894
Download Nota Download MidiNOEL NG'ITU,
DAR ES SALAAM,
06/NOV/2010.
0717 39 66 74
Astahili mwanakondoo aliyechinjwa kuupokea uweza na utajiri x 2
Pia hekima nguvu na heshima utukufu unayeye milele na milele x 2
1.Ndiye Yesu Kristu mzaliwa wa kwanza kutoka kwa wafu na mkuu wa wafalme wa dunia yote
2. Yeye atupendaye na kutuosha dhambi zetu ametufanya kuwa ufalme kwake Mungu wetu
3.Kwani yeye ndiye Alfa na Omega Mungu aliyeko Mungu aliye kuwako na atakayekuja