Ingia / Jisajili

POKEA PETE HII

Mtunzi: Noel Ng'itu
> Mfahamu Zaidi Noel Ng'itu
> Tazama Nyimbo nyingine za Noel Ng'itu

Makundi Nyimbo: Ndoa

Umepakiwa na: Noel Ng'itu

Umepakuliwa mara 994 | Umetazamwa mara 2,470

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Mwenzangu pokea pete hii (pokea) pete hii iwe ishara ya upendo na uaminifu wangu, Mwenzangu pokea pete hii (pokea) pete hii iwe ishara ya upendo na uaminifu wangu kwako. Mimi nimekuchagua wewe uwe wangu wa Maisha x2 (Ninakupenda) wewe tu, nami nakupenda wewe tu (Nakupenda) wewe tu nakupenda wewe tu. 1. Mimi ninakupenda wewe Mume wangu, katika shida na raha (Aeee) nami ninakupenda wewe, mke wangu, na tudumishe agano letu, kwa pete hii.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa