Ingia / Jisajili

Atoaye Dhabihu Za Kushukuru

Mtunzi: Renatus Mazula
> Mfahamu Zaidi Renatus Mazula
> Tazama Nyimbo nyingine za Renatus Mazula

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Vusile Silonda

Umepakuliwa mara 942 | Umetazamwa mara 3,249

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
  1. Atoaye dhabihu za kushukuru, ndiye anayenitukuza, naye autengenezaye mwenendo wake, nitamwonyesha wokovu wa Mungu. 

    Mtolee Mungu dhabihu za kushukuru mtimizie Mungu nadhiri zako x 2

  2. Sinta twaa ng'ombe katika nyumba yako, wala beberu katika zizi lako, maana kila hayawani wote ni wangu na makundi juu ya milima Elfu.

  3. Umekaa na kumsengenya ndugu yako, mwana wa mama yako umemsingizia, ndivyo ulivyofanya nami nikanyamaza, ukadhani mimi ni kama wewe.

Maoni - Toa Maoni

Zebedayo mkweyi Dec 18, 2024
Naomba kufahamu umuhimu wa dhabihu

Toa Maoni yako hapa