Ingia / Jisajili

Mtolee Mungu Dhabihu Za Kushukuru

Mtunzi: Renatus Mazula
> Mfahamu Zaidi Renatus Mazula
> Tazama Nyimbo nyingine za Renatus Mazula

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 7,578 | Umetazamwa mara 12,915

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
  1. Mtolee Mungu Dhabihu, za kumshukuru
    Mtimizie aliye juu, nadhiri zako
    Ukaniite siku ya mateso yako
    Nitakuokoa na wewe, utanitukuza
     
  2. Kama ningekuwa na njaa singekuambia
    Maana ulimwengu ni wangu navyo viujazavyo
    Je? nile nyama ya mafahari au damu ya mbuzi Mtolee Mungu dhabihu za kushukuru.
     
  3. Mungu Mungu Bwana amenena ameziita nchi
    Toka mawio ya jua hata machweo yake Sitakukemea kwa  ajili ya dhabihu zako
    Na kafara zako ziko mbele yangu daima


Maoni - Toa Maoni

army mwamwano Mar 04, 2022
Hakika huu wimbo ni mzuri Sana ukiuimba kwa ufasaha hakika utabarikiwa

Renatus Calist Jul 13, 2018
Nampongeza sana mtunzi. Alikuwa na utulivu wa kutosha wakati wa kuutunga wimbo

Lucas masuluzu Oct 17, 2016
Pongezi kwa mtunzi

Toa Maoni yako hapa