Mtunzi: Renatus Mazula
> Mfahamu Zaidi Renatus Mazula
> Tazama Nyimbo nyingine za Renatus Mazula
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 1,717 | Umetazamwa mara 5,610
Download Nota Download Midi
1. Yesu wangu njoo rohoni mwangu Mungu wangu na Bwana wangu Mfalme wa mbingu ashuka kwetu kukaa nasi moyoni mwetu
KIITIKIO
Karibu Bwana moyoni mwangu ukae NAMI daima x2
2. Anatulisha na kutunywesha tutapokea mema ya mbingu imani yetu ataongeza nao upendo ataukuza
3. Yeye ni shina la uzima mpya yeye ni njia wazi ya mbingu tukiungana na Bwana Yesu uzima wake tutapokea