Ingia / Jisajili

BABA FURAHA

Mtunzi: Geofrey Ndunguru
> Tazama Nyimbo nyingine za Geofrey Ndunguru

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mwaka wa Familia (2014) | Ndoa

Umepakiwa na: Geofrey Ndunguru

Umepakuliwa mara 247 | Umetazamwa mara 1,596

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
BABA YAKE FURAHA NI MFANO WA KUIGWA, KATIKA JAMII NA TAIFA LAKE MUNGU. NDIYE CHANZO CHA FURAHA KATIKA NYUMBA YAKE, NDIYE CHANZO CHA FURAHA KATIKA JUMUIYA YAKE, ANAPENDEZA SANA KATIKA MAVAZI YAKE NADHIFU

Maoni - Toa Maoni

Emanuel kumburu Sep 07, 2024
Nakupongeza sana Kwa kazi zako nzur sanaa

Toa Maoni yako hapa