Ingia / Jisajili

NITAKUSIFU MILELE

Mtunzi: Geofrey Ndunguru
> Tazama Nyimbo nyingine za Geofrey Ndunguru

Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme | Mafundisho / Tafakari | Shukrani

Umepakiwa na: Geofrey Ndunguru

Umepakuliwa mara 541 | Umetazamwa mara 2,193

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Milele Ee Yesu nitakusifu Milele x2 Kwa nyimbo za shangwe nita kusifu milele, kwa nyimbo za shangwe nitakisifu milele aleluya x2

1. mwokozi katenda mambo ya ajabu amenikomboa kaniweka huru , nishangwe kubwa kukombolewa



Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa