Mtunzi: Augustine Rutakolezibwa
> Mfahamu Zaidi Augustine Rutakolezibwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Augustine Rutakolezibwa
Makundi Nyimbo: Juma Kuu
Umepakiwa na: AUGUSTINE RUTAKOLZIBWA
Umepakuliwa mara 1,042 | Umetazamwa mara 3,635
Download Nota Download MidiKIITIKIO:
Baba yangu (mbona ) Baba yangu (Baba) mbona umeniacha,(Baba) mbona umeniacha x 2
Mashairi
1.mbona umbali nawokovu wangu, mbona umeniacha; na maneno ya kuugua kwangu, mbona umeniacha.
2. Nalia mchana lakini hujibu, mbona umeniacha; usiku lakini sipati raha ,mbona umeniacha.
3. Baba zetu walikutumaini. mbona umeniacha; Na wewe Mungu ukawokoa, mbona umeniacha.
4. Waniona hinicheka san, mbona umeniacha; hunifyonya wakitikisa vichwa, mbona umeniacha
5. Usiwe mbali nami taabuni. mbona mniacha; kwa maana hakuna msadizi, mbona umeniaha.