Ingia / Jisajili

Baba Sifai, Ninatubu Nisamehe

Mtunzi: Eric Mwaniki FRANCIS, S.J.
> Mfahamu Zaidi Eric Mwaniki FRANCIS, S.J.
> Tazama Nyimbo nyingine za Eric Mwaniki FRANCIS, S.J.

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Eric Mwaniki

Umepakuliwa mara 18 | Umetazamwa mara 29

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
BABA SIFAI, NINATUBU NISAMEHE 1. Sio kawaida, kupendelea giza, mbona sasa mimi, giza ndio rafiki, masikini mimi, natafuta nini, sielewi kitu, mimi mimi, Baba sifai, x2 kuwa mwana wako x2 nifanye niwe x2 kama mtumishi nimekosa x2 kosa mbele yako x2 na mbele yake x2 Mungu muumba wangu 2. Dhambi yavutia, niishi utumwani, nile na nguruwe, badala ya kwa Baba, ole wangu mimi, nimemwacha Mungu, niko peke yangu, mimi mimi 3. Wanapohubiri, masikio naziba, japo nipo pale, neno haliniguzi, kweli nimechakaa, uchafu wa dhambi, nimekosa mimi, mimi mimi Ninatubu nisamehe nimekosa nisamehe x2

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa