Ingia / Jisajili

Shahidi Wa Imani

Mtunzi: Eric Mwaniki FRANCIS, S.J.
> Mfahamu Zaidi Eric Mwaniki FRANCIS, S.J.
> Tazama Nyimbo nyingine za Eric Mwaniki FRANCIS, S.J.

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Watakatifu

Umepakiwa na: Eric Mwaniki

Umepakuliwa mara 27 | Umetazamwa mara 44

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
SHAHIDI WA IMANI Shahidi wa Imani ni nguzo bora katika kanisa letu *2 Atuonyesha mfano bora wakuishi kama Mkristo*2 1. Anampenda Mungu wake, kwa nafsi yake yote, pia jirani yake naye. kama ajipendavyo 2. Aheshimu wazazi wake, na kuwasikiliza hauwi na hazini kamwe, na hasemi uongo 3. Anatosheka na haibi, si mfungwa wa tamaa, anasali kila wakati, kushinda majaribu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa