Mtunzi: Guido B. Matui
> Tazama Nyimbo nyingine za Guido B. Matui
Makundi Nyimbo: Miito
Umepakiwa na: Vusile Silonda
Umepakuliwa mara 2,224 | Umetazamwa mara 5,614
Download Nota Download MidiG .B. MATUI.
Bahati gani ee ndugu kuchaguliwa
(Kwenda kutangaza Injili yake Bwana, tumwombe Bwana awasaidie ninyi) X 2
1) Neno la bwana ulinipa na kusema , Nalikutakasa, nimekuweka kuwa nabii kati ya mataifa
2) Ndipo niliposema , Mungu siwezi maana mimi ni mtoto.