Mtunzi: Geofrey Ndunguru
> Tazama Nyimbo nyingine za Geofrey Ndunguru
Makundi Nyimbo: Mwaka Mpya | Shukrani | Watakatifu
Umepakiwa na: Geofrey Ndunguru
Umepakuliwa mara 640 | Umetazamwa mara 2,339
Download Nota Download Midikiitikio.
Huyu ni mama yetu, tumsifuye ni mama yetu.Sisi tunaye mama maria, anatupenda sana Ma ria Mama yetu, Atuombea sana Maria anatupa neema Maria mama yetu.
Mashairi
1.Ni mpole ni mnyenyekevu Maria atupenda mama mpendelevu maria, mvumilivu mwingi wa upendo Maria atupenda mama mpendelevu Maria
2.Ni msafi bikira daima Maria, atupenda mama mpendelevu Maria,Ni mwombezi mlango wa mbinguni Maria atupenda mamampendelevu maria
3.Amejaa neema ya Mungu Maria atupenda mama mpendelevu maria, Ndiye mama wa utaratibu Maria atupenda mama mpendelevu maria.