Mtunzi: John Sway
> Mfahamu Zaidi John Sway
> Tazama Nyimbo nyingine za John Sway
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 3,827 | Umetazamwa mara 7,004
Download Nota Download MidiBethlhemu pangoni mtoto kazaliwa nasi twende na zawadi zetu tukamwone mtoto x 2 yuko pale horini na mama Maria amelazwa manyasini ni mwokozi wa dunia.
Mashairi:
1. Twimbe wote kwa furaha twimbe wote kwa shangwe turuke ruke makofi tupige/ tushangilie na ngoma tucheze mwokozi kazaliwa.
2. Wachungaji wamefika kumsujudia mtoto, nasi twendeni tukamsujudie mwokozi wetu leo kazaliwa tuimbe Aleluya.
3. Hongera mama Maria hongera mama yetu, kutuletea mfalme wa amani, yeye ni Bwana wa mabwana mwokozi wa dunia.