Mtunzi: John Sway
> Mfahamu Zaidi John Sway
> Tazama Nyimbo nyingine za John Sway
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 2,989 | Umetazamwa mara 7,212
Download Nota Download MidiEe Bwana unifadhili, Maana nakulilia (Bwana), Maana nakulilia Bwana (Bwana) nakulilia wewe mchana kutwa x2:
Mashairi:
1. Kwa maana wewe Bwana umekuwa tayari umekuwa tayari kusamehe.
2. Na mwingi wa fadhili kwa watu wako wote watu wako wanaokuita.