Ingia / Jisajili

Binadamu Inama Kichwa

Mtunzi: Beatus M. Idama
> Tazama Nyimbo nyingine za Beatus M. Idama

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Beatus Idama

Umepakuliwa mara 1,455 | Umetazamwa mara 4,385

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
 1. Binadamu inama kichwa umwabudie Mungu mtu
  (hapa yupo ajapofichwa ameshuka chini kwetu) x 2
   
 2. Kwamacho yetu hatuoni,ila maumbo ya mkate, 
  (hatuna hata mkate lakini mwiliwe twakiri sote) x 2
   
 3. Kukaa nasi umetaka rabi mwema mpenda watu,
  (Kwa tamaa nyoyo zawaka njoo basi kaa kwetu) x 2

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa