Mtunzi: F. B. Mallya
> Tazama Nyimbo nyingine za F. B. Mallya
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: EXAVERY NGONYANI
Umepakuliwa mara 2,368 | Umetazamwa mara 6,800
Download Nota1.Binadamu inama kichwa umwabudie Mungu mtu
//: Hapayupo ajapo fichwa ameshuka chini kwetu :// x2
2.Kwa macho yetu hatuoni, ila maumbo ya mkate.
//: Hatuna'ta mkate lakini, mwiliwe twakiri sote. :// x2.
3.Kukaa nasi umetaka, Rabbi mwema mpenda watu.
//: Kwa tamaa nyoyo zawaka, njoo basi ndani mwetu. ://x2