Ingia / Jisajili

Binadamu sura ya Mungu

Mtunzi: Bosco Vicent Mbuty
> Mfahamu Zaidi Bosco Vicent Mbuty
> Tazama Nyimbo nyingine za Bosco Vicent Mbuty

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Bosco Mbuty

Umepakuliwa mara 297 | Umetazamwa mara 988

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Binadamu wote tumeumbwa kwa mfano na sura ya Mungu,raha na karaha kaziweka wanadamu tushirikiane.tofauti zetu wanadamu wala siyo mipango ya Mungu,bali ni mipango ya shetani wanadamu tufarakane sote tushirikiane tuwapende wajane,tuwapende na yatima tutabarikiwa sana.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa