Ingia / Jisajili

BWANA AHSANTE

Mtunzi: John Martine
> Mfahamu Zaidi John Martine
> Tazama Nyimbo nyingine za John Martine

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Mafundisho / Tafakari | Shukrani

Umepakiwa na: John Martine

Umepakuliwa mara 425 | Umetazamwa mara 1,098

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
KIITIKIO Ninakushukuru Bwana Ahsante ,Kwa mema yote Uliyonitendea ,Sina cha kukulipa Mungu wangu, Bwana Pokea hizi Shukrani Zangu. MASHAIRI 1.Umenilisha kwa mwili wako, na kuninywesha kwa Damu yako Pokea sifa na Shukrani. 2. Usiku kucha Unanilinda, Mchana kutwa, waniongoza, Pokea Sifa na Shukrani. 3.Nazo ajali, Umeniepusha, Hakika Bwana wewe ni mwema nitakusifu Milele.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa