Ingia / Jisajili

Bwana alikuwa tegemeo

Mtunzi: M.p. Makingi
> Mfahamu Zaidi M.p. Makingi
> Tazama Nyimbo nyingine za M.p. Makingi

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: Michael Makingi

Umepakuliwa mara 370 | Umetazamwa mara 1,125

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana alikuwa tegemeo langu akanitoa akani peleka panapo nafasi akaniponya kwa kuwa alipendezwa nami.x2. (1) Walini kabili siku ya msiba wangu lakini Bwana alikuwa tegemeo langu (2).A ka NI toa akani peleka panapo nafasi aliniponya kwa kuwa alipendezwa nami.(3)Bwana alinitendea Sawa Sawa na haki yangu Sawa Sawa na usafi wa MIKONO yangu akani lipa.(4)Maana nimezishika njia za Bwana Wala siku mwasi mungu wangu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa