Mtunzi: Finias Mkulia
> Mfahamu Zaidi Finias Mkulia
> Tazama Nyimbo nyingine za Finias Mkulia
Makundi Nyimbo: Kupaa kwa Bwana
Umepakiwa na: FINIAS MKULIA
Umepakuliwa mara 487 | Umetazamwa mara 1,421
Download Nota Download MidiKIITIKI
Bwana alipobatizwa mbingu zikamfunukia, roho akashuka kwa mfano mfano wa hua na kukaa juu yake.
MASHAIRI
1.(a)Natazama sauti ya Baba kutoka mbinguni ikisema (b) Huyu ni mwanangu mpendwa wangu msikieni yeye