Mtunzi: Finias Mkulia
> Mfahamu Zaidi Finias Mkulia
> Tazama Nyimbo nyingine za Finias Mkulia
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: FINIAS MKULIA
Umepakuliwa mara 219 | Umetazamwa mara 1,180
Download Nota Download MidiKIITIKIA
Siwaiti tena watumwa kwa maana hajui atendalo Bwana wake X 2
Lakini ninyi niwaita rafiki, nimewaita rafiki, kwakuwa yote niliyoyasiki kwa Baba yangu
nimewaarifu X 2
MASHAIRI
1.Si ninyi mlionichua mimi bali niyewachagua ninyi,nami nikawaweka mwende mkaze matunda.
2. Matunda yenu yapate kudumu ilikwamba lolote mumwombalo Baba kwa jina langu awapeni.