Mtunzi: Finias Mkulia
> Mfahamu Zaidi Finias Mkulia
> Tazama Nyimbo nyingine za Finias Mkulia
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Ndoa
Umepakiwa na: FINIAS MKULIA
Umepakuliwa mara 782 | Umetazamwa mara 2,088
Download Nota Download MidiKIITIKIO
Bwana atubariki siko zote siku zote za maisha yetu.
MASHAIRI
1.(A) Heri kila mtu amchaye Bwana, aendaye katika njia zake.(b)Taabu ya mikono yako hakika utaila,utakuwa mwenye heri na baraka tele.
2.(a)Mke wako atakuwa kama mzabibu uzaao, nyumbani mwa nyumba yako.(B)Wanao kama miche miche ya mizeituni wakiizunguka meza yako.
3.(a)Hakika atabarikiwa yule amchaye Bwana,Bwana akubariki toka sayuni(b)Uone uheri wa yerusalemu,siku zote za maisha yako.