Mtunzi: James Makinda
> Mfahamu Zaidi James Makinda
> Tazama Nyimbo nyingine za James Makinda
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: James Makinda
Umepakuliwa mara 715 | Umetazamwa mara 3,255
Download NotaKiitikio: Bwana ametamalaki (Bwana) Bwana ametamalaki Bwana ametamalaki x 2 Nao mataifa watetemeka naye ameketi juu ya Makerubi nayo nchi inatikisika x2
Mashairi: 1. Bwana katika Sayuni ni mkuu naye ametukuka juu ya mataifa yote
2. Wote walishukuru jina lake kuu kwa maana jina lake Bwana ni la kuogofya
3. Moto watangulia mbele zake na kuwateketeza adui pande zake zote